Makamu wa Rais wa Cuba, Mhe. Salvador Valdes Mesa awasili Nchini
Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Valdes Mesamara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Mhe. Mesa atakuwa Nchini kwa ziara ya siku tatu kuanzia tarehe 2- 4 Oktoba, 2016