Kufanyika kwa Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwe
Kufanyika kwa Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji
Naibu Katibu Mkuu wa Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Bw. Ally K. Juma akifafanua jambo kwenye Mkutano Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji ngazi ya Makatibu Wakuu
Sehemu ya Wajumbe kutoka nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki Wakifuatilia Mkutano
Sehemu ya wajumbe kutoka Tanzania wakifuatilia Mkutano
Naibu Katibu Mkuu, Biashara na Uwekezaji Tanzania bara Prof. Joseph Buchweishaija (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Bw. Ally K. Juma (kulia), wakifuatilia Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji katika ngazi ya Matibu Wakuu