Skip to main content
News and Events

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya India atembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya India atembelea Wizara ya Mambo ya Nje

  • Ujumbe wa Tanzania (kulia) na ule wa India ukiongozwa na Makatibu Wakuu wao ukiwa katika majadiliano ya namna ya kuboresha zaidi mahusiano kati ya Tanzania na India ambayo yemedumu kwa miaka mingi sasa
  • Balozi Mlina akikabidhi zawadi kwa Katibu Mkuu wa India
  • Picha ya pamoja