KATIBU MKUU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MRATIBU MKAZI WA SHUGHULI ZA UMOJA WA MATAIFA

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge akiongea na Mratibu Mkazi wa Shughuli za Umoja wa Mataifa (UN), Bw. Zlatan Milišić wakati walipokutana kwa mazungumzo leo jijini Dar es Salaam