Skip to main content
News and Events

KATIBU MKUU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ZAMBIA NCHINI

Balozi wa Zambia nchini Mhe. Benson Keith Chali akiongea na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge wakati walipokutana kwa mazungumzo leo jijini Dar es Salaam