News and Events Balozi wa Zimbawe atembelea Wizara ya Mambo ya Nje 24 Jan 2018 - News and Events - 941 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania anayemakiza muda wake, Mhe. Idzai Chimonyo ambaye alifika ofisini kwa Mhe. Naibu Waziri kwa ajili ya kuaga.