Balozi wa Tanzania nchini Uingereza awasilisha Hati
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akisalimiana na Malkia Elizabeth II wa Uingereza mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya nchi hiyo ya Buckingham kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho. Kulia ni mwenza wa Dkt. Migiro, Prof. Cleophas Migiro.