Balozi wa Tanzania nchini Italia awasilisha Hati za Utambulisho
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mhe. George Kahema Madafa awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais Jamhuri ya Italia Mhe.Sergio Mattarella
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mhe.Madafa akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Italia Mhe. Sergio Mattarella kabla ya kuwasilisha hati za utambilisho
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mhe.Madafa akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Italia Mhe. Sergio Mattarella mara baada ya kuwasilisha hati za utambilisho