Skip to main content
News and Events

Balozi wa Tanzania nchini Israel awasilisha Hati za Utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Israel awasilisha Hati za Utambulisho

  • Akiwa amevaa baragashia ya kitamaduni ya Kiyahudi maarufu kama "Kippah" Balozi wa Tanzania nchini Israel, Mhe. Job Masima akiwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
  • Balozi wa Tanzania nchini Israel, Mhe. Job Masima akikaribishwa rasmi kwa toast baada ya kuwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na kusoma salamu maalumu za mwanzo wa urafiki mpya wa ushirikiano wa karibu kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel, Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.