Skip to main content
News and Events

Balozi Pindi Chana awasilisha Hati za Utambulisho

Balozi Pindi Chana awasilisha Hati za Utambulisho

  • Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya (katikati) mara baada ya zoezi la kuwasilisha Hati za Utambulisho kukamilika.