News and Events Balozi Pindi Chana awasilisha Hati za Utambulisho 14 Jun 2017 - News and Events - 1063 Balozi Pindi Chana awasilisha Hati za Utambulisho Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya (katikati) mara baada ya zoezi la kuwasilisha Hati za Utambulisho kukamilika.