BALOZI MTEULE WA MAREKANI NA BALOZI MTEULE WA VIET NAM WAKABADHI NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea nakala ya hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Marekani Dkt. Donald John Wright na baadae kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa Viet Nam Nchini Tanzania Mhe.Nguyen Nam Tien,muda mfupi kabla ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea nakala ya hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Viet Nam Nchini Tanzania Mhe.Nguyen Nam Tien,na baadae kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa Viet Nam Nchini Tanzania Mhe.Nguyen Nam Tien,muda mfupi kabla ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
  • Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akisalimiana na Balozi Mteule wa Viet Nam hapa Nchini Mhe. Nguyen Nam Tien muda mfupi kabla ya kukabidhi nakala ya hati za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (hayupo pichani)
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi na Balozi Mteule wa Viet Nam Nchini Tanzania Mhe.Nguyen Nam Tien wakiwa katika mazungumzo pamoja na baadhi ya maafisa na Wakurugenzi kutoka pande zote mbili