Skip to main content
News and Events

Balozi Mteule wa Australia awasilisha Nakala za Hati za Utambulisho

Balozi Mteule wa Australia nchiniTanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. WANG Ke akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga jijini Dar Es Salaam leo.