Balozi Mteule wa Argentina awasilisha Nakala za Hati za Hutambulisho
Balozi Mteule wa Argentina nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Martin Gomez Bustillo akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga ofisini kwake jijini Dar es Salaam