BALOZI KANALI IBUGE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI MBALIMBALI, WAKUU WA MASHIRIKA YA KIMA

Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge akimfafanulia jambo Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe. Balozi Ahamada Elbadaour Mohamed wakati wa mazungumzo yaliyofanyika 22 Januari 2020 katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam

BALOZI KANALI IBUGE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI MBALIMBALI, WAKUU WA MASHIRIKA YA KIMATAIFA YALIPO NCHINI