Skip to main content
News and Events

BALOZI BRIGEDIA JENERALI IBUGE AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI MKOANI MWANZA

  • Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge akielekeza jambo kwa Watendaji alipotembelea eneo la Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabia Nchi uliopo wilayani Magu, Mwanza.
  • Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge akiwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Magu
  • Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge akiongea na baadhi ya wananchi wa Magu (hawapo pichani) waliojitokeza kwenye ziara yake ya ukaguzi wa mradi.
  • Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Miundombinu ya Uchumi na Huduma za Jamii,Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Eliabi Chodota, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John V.K Mongela, Mtendaji wa Sekretarieti ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC) Dkt. Ally Said Matano na Mhandisi Hilda Luoga kutoka LVBC