Skip to main content
News and Events

Wizara yakutana na Taasisi ya Aga Khan kujadili masuala ya ushirikiano

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa hotuba ya ufunguzi katika kikao cha wadau kilichoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje

  • Mkuu wa masuala ya Diplomasia katika Taasisi wa Maendeleo wa Aga Khan, Balozi Arif Lalani akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya Taasisi hiyo iliyopo nchini. Balozi Lalani alieleza kuwa wataendelea kushirikiana na Tanzania katika kuhakikisha wanatoa huduma nzuri na zenye ubora hususan katika sekta za Elimu, Afya na masuala ya Utalii sambamba na kuangalia namna ya kuanzisha maeneo mengine zaidi ya uwekezaji.