Skip to main content
News and Events

WAZIRI NA NAIBU WAKE WAWASILI WIZARANI

  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akikaribishwa Wizarani muda mfupi baada ya kula kiapo cha kutumikia nafasi hiyo.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula akiwasili katika Ofisi za Wizara zilizopo Mtumba jijini Dodoma muda mfupi baada kula kiapo cha kutumikia nafasi hiyo. Mhe. Balozi Mulamula na Naibu wake Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk wamepokelewa na Watumishi na Wakuu wa Idara na Vitengo wakiongozwa Katibu Mkuu Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula akisaini kitabu cha wageni alipowasili Wizarani
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akisaini kitabu cha wageni alipowasili Wizarani
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula akiongea na Watumishi na Menejimenti ya Wizara (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula na Naibu wake Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk wakisikiliza maelezo ya Katibu Mkuu Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge mara baada ya kuwasili Wizarani
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula na Naibu wake Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi, Menejimenti na Viongozi wa Wizara mara baada ya mapokezi ya kuwakaribisha Wizarani.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula na Naibu wake Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi, Menejimenti na Viongozi wa Wizara mara baada ya mapokezi ya kuwakaribisha Wizarani.

venusbet 1pusulabet.com betovis hiltonbet mavibet milosbet istanbulbayanmasozler.com kalebet34.net trwin betadonis beinwon.info vbet betitbet.com.tr trwinx.com betandyou casino