Skip to main content
News and Events

WAZIRI MULAMULA AHIMIZA KASI NA WELEDI KATIKA UTENDAJI

  • Balozi Joseph Edward Sokoine Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza na watumishi (hawapo pichani) wakati wa Mkutano wa Waziri Mulamula na Watumishi wa Wizara
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Wizara.
  • Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikino wa Afrika Mashariki wakifuatilia mkutano
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Wizara. Wengine walioketi, ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Joseph Edward Sokoine (kushoto) na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu Bw. Alex B.D.J Mfungo (kulia)
  • Balozi Joseph Edward Sokoine Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akifuatilia Mkutano uliokuwa ukiendelea Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Liberata Mulamula na Watumishi wa Wizara