Skip to main content
News and Events

Waziri Mahiga aongoza maadhimisho ya Siku ya Taifa la Kuwait

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akizungumza katika hafla  ya kusheherekea Siku ya Taifa la Kuwait iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Februari, 2016.