Waziri akutana na Balozi wa Iran nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Iran Nchini aliyemaliza Muda wake Mhe.Mehdi Aghajafari. Balozi Mhe. Mehdi Aghajafari wiki ijayo anatarajia kuondoka Nchini kurejea Iran.