Skip to main content
News and Events

Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

  • Mhe. Waziri Mahiga,(Kulia) akizungumza jambo na Mhe. Waziri Nyamitwe katika mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Wizara, Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo pamoja na mambo mengine walizungumzia jinsi ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na nchi ya Burundi.
  • Mhe. Waziri Mahiga akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mhe.Djinnit.