Skip to main content
News and Events

Ubelgiji iongeze uwekezaji nchini, Mhandisi Manyanya

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akitoa hotuba ya ufunguzi kwenye kongamano la biashara kati ya Tanzania na Ubelgiji. kongamano hilo lilifanyika katika Hoteli ya Serena jini Dar Es Salaam.

  • Mkurugenzi wa Kukuza Uwekezaji kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania, Bw. John Mathew Mnali akiongea katika kongamano hilo.Mkurugenzi wa Kukuza Uwekezaji kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania, Bw. John Mathew Mnali akiongea katika kongamano hilo.
  • Wafanyabiashara wa Ubelgiji na Tanzania wakiwa katika mazungumzo ya ana kwa ana kuhusu kushirikiana katika uwekezaji nchiniWafanyabiashara wa Ubelgiji na Tanzania wakiwa katika mazungumzo ya ana kwa ana kuhusu kushirikiana katika uwekezaji nchini