Skip to main content
  
  
   
   
   
   
   
    
      
        
          
            
              
                
                  
                    
                    
                      
                        
                        
                          
                          
                          
                            
                            
                             
                               TANZANIA-PAKISTAN ZA ADHIMISHA SIKU YA URAFIKI 
                              
                              
                              
                                
                                  
                                    
                                      
                                      
                                      
                                      
                                         Balozi wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Mohammad Saleem akihutubia hadhara iliyojitokeza kwenye maadhimisho ya Siku ya Urafiki wa Pakistani na Tanzania yaliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Balozi wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Mohammad Saleem akihutubia hadhara iliyojitokeza kwenye maadhimisho ya Siku ya Urafiki wa Pakistani na Tanzania yaliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
 Hafla ya maadhimisho ikiendelea. Hafla ya maadhimisho ikiendelea.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwasili katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam kushiriki maadhimisho ya Siku ya Urafiki wa Pakistani na Tanzania. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwasili katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam kushiriki maadhimisho ya Siku ya Urafiki wa Pakistani na Tanzania.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akihutubia hadhara iliyojitokeza kwenye maadhimisho ya Siku ya Urafiki wa Pakistani na Tanzania yaliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akihutubia hadhara iliyojitokeza kwenye maadhimisho ya Siku ya Urafiki wa Pakistani na Tanzania yaliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
 
                                    
                                    
                                      
                                    
                                    Downloads File: