Skip to main content
News and Events

Rais wa Vietnam awasili Nchini kuanza Ziara ya Kwanza ya Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tang San (kushoto) pamoja na mkewe Mama Mai Thi Hann wakipunga mkono mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kuanza ziara ya kwanza ya kitaifa nchini.

  • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akimpokea Rais wa Vietnam Mhe. Troung Tang San kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya kuwasili nchini
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe William Tate Ole Nasha (Mb) akiongea na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam
  • Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa akiagana na Rais Truong Tang San mara baada ya kuwasili hotelini kwake.