Skip to main content
News and Events

RAIS WA JAMHURI YA BOTSWANA MHE. DKT. MASISI ATEMBELEA KIWANDA CHA KUSAGA NAFAKA CHA AZAM

  • Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mheshimiwa Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) wakiwasili katika kiwanda cha Azam kilichopo Buguruni jijini Dar es Salaam
  • Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mheshimiwa Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi akiwa ameambatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) wakilakiwa na baadhi ya Watendaji wa Kiwanda cha kusaga nafaka cha Azam waliopowasili kiwandani hapo kwa lengo la kujionea uwekezaji unaofanywa na Wawekezaji binafsi wa Kitanzania.
  • Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mheshimiwa Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi akizungumza na baadhi ya Watendaji (hawapo pichani) wa Kiwanda cha Azam Rais wa Jamhuri ya Botswana, Mheshimiwa Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi ameondoka nchini leo Juni 11, 2021 baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku mbili.