Skip to main content
News and Events

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ampokea Waziri Mkuu wa India

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Waziri Mkuu wa India Mhe.  Narendra Modi mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu Jiji Dar es Salaam. Mhe. Modi yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili inayotarajiwa kumalizika leo.