RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI NCHINI CHINA KUSHIRIKI (FOCAC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing nc
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utakofanyika tarehe 4- 6 Septemba 2024