Skip to main content
PROF. KABUDI AHUTUBIA KIKAO CHA 43 CHA BARAZA LA HAKI ZA BINADAMU LA UMOJA WA MATAIFA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa katika kikao cha 43 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachofanyika Geneva, Uswisi. Katika Mkutano huu Prof. Kabudi anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, kuliezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano katika kulinda na kusimamia haki za Binadamu.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa na baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania (waliosimama) kwenye kikao cha 43 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachofanyika Geneva, Uswisi