Naibu Waziri wa Mambo ya Nje atembelea Ofisi ya Zanzibar
Naibu Waziri Mhe. Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Watumishi wa Wizara waliopo Ofisi ya Wizara ya Zanzibar. Wengine ni baadhi ya Watumishi wakimsikiliza akiwemo Mkurugenzi wa Idara hiyo, Balozi Silima Haji (wa kwanza kulia)