Skip to main content
News and Events

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mtaalam wa Uchumi kutoka Ujerumani

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akizungumza wakati wa kikao na Prof. Helmut (kulia) Asche ambaye ni Mtaalam wa Uchumi hususan masuala yanayohusiana na Ubia wa Kiuchumi kati ya Ulaya na Afrika (EPA) kutoka Ujerumani. Kikao hicho kilifanyika hivi karibuni jijini Dodoma.

  • Prof. Asche kutoka Ujerumani akizungumza kwenye kikao kati yake na Naibu Waziri, Mhe. Ndumbaro. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe akimsikiliza Prof. Asche.Prof. Asche kutoka Ujerumani akizungumza kwenye kikao kati yake na Naibu Waziri, Mhe. Ndumbaro. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe akimsikiliza Prof. Asche.
  • Katibu Mkuu, Dkt. Mnyepe akichangia hoja wakati wa kikao hichoKatibu Mkuu, Dkt. Mnyepe akichangia hoja wakati wa kikao hicho
  • Prof. Asche akifafanua jambo kuhusu EPA wakati wa kikao kati yake na Mhe. Dkt. Ndumbaro huku wajumbe wengine wakifuatilia. Kulia ni  Bw. Jestas Nyamanga, Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika MasharProf. Asche akifafanua jambo kuhusu EPA wakati wa kikao kati yake na Mhe. Dkt. Ndumbaro huku wajumbe wengine wakifuatilia. Kulia ni Bw. Jestas Nyamanga, Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashar