Skip to main content
News and Events

NAIBU WAZIRI LONDO MSIBANI KWA NDUGULILE

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis Londo (Mb.) tarehe 01 Novemba, 2024 ametoa pole kwa familia ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ukanda wa Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile.

Mhe. Londo aliwasilisha salamu za Wizara ya Mambo ya Nje akimwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)

Aidha Mhe. Londo ameungana na viongozi wengine wa ndani na nje ya nchi akiwemo Mkurugenzi wa sasa wa WHO Kanda ya Afrika anayemaliza muda wake Dkt. Matshidiso Moeti.

venusbet 1pusulabet.com betovis hiltonbet mavibet milosbet istanbulbayanmasozler.com kalebet34.net trwin betadonis beinwon.info vbet betitbet.com.tr trwinx.com betandyou casino

healthandbeautytravel