Skip to main content
News and Events

Naibu Waziri apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mh.Balozi

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Mhe. Dkt. Susan Kolimba akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Slovak

  • Naibu Waziri Mhe.Dkt. Susan Kolimba akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ukraine Mhe. Yevnii Tsymbaliuk mara baada ya kukabidhi hati ya utambulisho
  • Naibu Waziri Mhe.Dkt. Susan Kolimba akiwa katika picha ya pomaja na  Balozi wa Ukraine Mhe. Yevnii Tsymbaliuk na Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Marekani  Balozi Joseph SokoineNaibu Waziri Mhe.Dkt. Susan Kolimba akiwa katika picha ya pomaja na Balozi wa Ukraine Mhe. Yevnii Tsymbaliuk na Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Marekani Balozi Joseph Sokoine