Mahiga akutana na Mjumbe wa Haki za Binadamu
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akimkaribisha Mhe. Philip Ruddock, Mjumbe Maalum wa Haki za Binadamu na Mwenyekiti wa Kamati ya pamoja ya Bunge nchini Australia, ambaye alimtembelea jana katika Ofisi za Wizara na kufanya naye mazungumzo.