Skip to main content
News and Events

MABALOZI WA TANZANIA WATEMEBELEA MRADI WA RELI NA UPANUZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Mabalozi wa Tanzania watembelea mradi wa reli na upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam

  • Mabalozi wakifuatilia wasilisho kuhusu mradi wa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam
  • Mhe. Dkt. Asha Rose Migiro Balozi wa Tanzania nchini Uingereza akizungumza wakati wa ziara ya kikazi Bandari ya Dar es Salaam
  • Balozi Ramadhani Mwinyi Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisaini kitabu cha wageni alipoambatana na mabalozi katika ziara ya kikazi Bandari ya Dar es Salaam.