Skip to main content
News and Events

KATIBU MKUU KANALI IBUGE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA UNDP

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bi. Christine Musisi akimuelezea jambo Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge wakati walipokutana kwa mazungumzo leo jijini Dar es Salaam