Skip to main content
Diaspora News

Diaspora ni rasilimali muhimu katika kuimarisha uchumi wa Afrika, Makamba

  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Issa Haji Ussi Gavu, akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January Makamba (Mb.) kuzungumza na Watanzania waishio ughaibuni.
  • Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki nao wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi
  • Sehemu nyingine ya wageni waliohudhuria mkutano wa nne wa Diaspora unaoendelea mjini Zanzibar
  • Watanzania waishio Ughaibuni wakipata burdani kwenye meli ya MV Mapinduzi waliyoitumia kuzunguka nayo kujionea Mandhari ya Visiwa vya Tumbatu na Nungwi.