Skip to main content
News and Events

BALOZI IRINE KASYANJU AKIWA KATIKA PICHA NA MTOTO MTANZANIA MWENYEKIPAJI CHA KUCHEZA MPIRA

Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Kasyanju akiwa katika picha na Mtoto Mtanzania mwenyekipaji cha kucheza mpira wa miguu Barka Seif (Miaka 7) ambaye anafanya vizuri kwenye timu ya Watoto ya Klabu ya Ajax ya nchini humo