Skip to main content

Balozi Dkt. Slaa awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Finland

Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic, na Baltic Mhe. Wilbrod Slaa awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland, Mheshimiwa Sauli Niinistö  jijini Helsinki

  • Balozi Dkt. Slaa akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Sauli Niinistö.Balozi Dkt. Slaa akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Sauli Niinistö.