Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
Balozi Dkt. Slaa awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Finland
27 Oct 2018--674
Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic, na Baltic Mhe. Wilbrod Slaa awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland, Mheshimiwa Sauli Niinistö jijini Helsinki
Balozi Dkt. Slaa akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Sauli Niinistö.