Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeandaa Kongamano
Jumuia ya Africa mashariki (EAC) imeandaa kongamano la utafiti wa kisayansi la bonde la ziwa victoria litakalofanyika katika hoteli ya malaika Beach Resort jijini Mwanza tarehe 15 na 16 February 2017.
Kupata habari zaidi na namna ya kushiriki kongomano hilo, tafadhali bofya hapa