UJUMBE WA SEKRETARIETI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA SGR
Ujumbe wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki umetembelea mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kwa lengo la kijionea maendeleo ya ujenzi wa maradi huo unaotekelezwa hapa nchi. Ujumbe huo ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa…