BALOZI IBUGE ATOA SOMO KWA WABUNGE KUHUSU DIPLOMASIA NA ITIFAKI
Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akitoa somo kwa Wabunge huku Naibu Spika Mhe. Dkt. Tulia Akson na Katibu wa Bunge Bw. Stephen Kigaigai wakimsikilizaa. Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki…