Waziri Kabudi akutana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza hapa nchini Mhe. Sarah Cooke alipomtembelea katika ofisi ndogo za Wizara…