Dkt. Mnyepe afanya mazungumzo na Balozi wa Msumbiji hapa nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Msumbiji hapa nchini Mhe. Monica Patricio Clemente. Mazungumzo yao yamefanyika katika…