Tanzania na Romania zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Palamagamba John Kabudi(Mb.), akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Romania katika Masuala ya Umoja wa Mataifa (UN), Balozi Daniela Gitman.