Dkt. Mahiga amwakilisha Rais katika Jukwaa la Uchumi Duniani
Tanzania imesisitiza umuhimu wa kukabili uhaba wa chakula kwa kuzalisha mazao kwa kutumia utalaamu wa kisasa kwa kuwapatia wakulima pembejeo na masoko ya uhakika ya chakula cha ziada. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Mambo ya Nje…