Skip to main content

News and Events

Dkt. Ndumbaro aapa kuwa Mbunge wa EALA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro(Mb) ameapishwa rasmi kuwa Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Katika tukio hilo Dkt. Ndumbaro alisindikizwa na Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe…