WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE WA INDONESIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia Mhe. Pahala Mansury jijini Jakarta, ikiwa ni hatua za mwisho za maandalizi ya Ziara…