AFRIKA INA ARDHI KUBWA YA KULISHA DUNIA, RAIS SAMIA
Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezihimiza nchi za Afrika kushirikiana ili kukabiliana na aibu ya baa la njaa, kwakuwa bara hilo lina asilimia 65 ya ardhi inayofaa kwa kilimo duniani, asilimia 60 ya utajiri wa rasilimali…